HAWA NDIO WATU WAFUPI ZAIDI DUNIANI WALIO KATIKA MAHUSIANO 14:48 | No Comments | Ina aminika kuwa Paulo Gabriel da Silva Barros (32 ) na Katyucia Hoshino ( 28 ) ndio binaadamu wafupi zaidi duniani ambao wapo katika mahusiano. Wawili hao wote raia wa Brazil walikutana na kuanzisha mahusiano kupitia mitandao ya kijamii zaidi ya miaka 10 iliyopita. Paulo Gabriel da Silva Barros na Katyucia Hoshino wakijaichia kwa raha zao. Paulo Gabriel da Silva Barros na Katyucia Hoshino wakifanya manunuzi Wakiwa nyumbani kwao Share This: Facebook Twitter Google+ Stumble Digg DUNIANI Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
0 comments:
Post a Comment