KOCHA WA TIMU YA TAIFA UINGEREZA AJIUZULU MARA BAADA YA KIPIGO
Akiwa na umri wa miaka 68 kocha Roy Hodgson ametangaza kuwa amejiuzulu kuifundisha timu ya taifa ya Uingereza mara baada ya timu yake kupokwa ushindi na kuondolewa katika michuano ya EURO 2016 dhidi ya timu ya taifa ya Iceland.
Uingereza ambayo ilipewa nafasi kubwa katika mechi hiyo ilianza vyema mchezo huo wa hatua ya mtoano kwa Wayne Rooney kupachika bao la kuongoza katika dakika ya nne kwa mkwaju wa penati Iceland walicharuka na kusawazisha dakika mbili baadae kupitia Ragnar Sigurdsson na baadae Kolbeinn Sigthorsson kupachika goli lililoamua hatima ya mchezo pamoja na kibarua cha kocha huyo katika dakika ya 18 ya mchezo.
Wachezaji wa Uingereza wakiwa katika hali ya simanzi baada ya kipenga cha mwisho |
Akizungumza na waandishi wa habari kocha Hodgson alithibitisha kuwa wasaidizi wake Ray Lewington na Gary Neville pia wataachia nafasi zao.
1976-80
Halmstad (Sweden)
Allsvenskan' 1976, 1979
1982
Bristol City
1982
Oddevold (Sweden)
1983-84
Orebro (Sweden)
1985-89
Malmo (Sweden)
Champions 1986, 1988; 'Allsvenskan' 1985-89, Swedish Cup
1986, 1989
1990-92
Neuchatel Xamax (Switzerland)
1992-95
Switzerland
1995-97
Inter Milan (Italy)
UEFA Cup Finalist 1997
1997-98
Blackburn Rovers
1999
Inter Milan
1999-2000
Grasshopper (Switzerland)
2000-01
FC Copenhagen (Denmark)
Superliga 2001; Super Cup 2001
2001
Udinese (Italy)
2002-04
United Arab Emirates
2004-05
Viking (Norway)
2006-07
Finland
2007-10
Fulham
UEFA Europa League Finalist 2010
2010-11
Liverpool
2011-12
West Bromwich Albion
2012-2016
England
0 comments:
Post a Comment