Saturday 30 July 2016

HILLARY CLINTON::NITAWATUMIKIA WAMAREKANI WOTE BILA UBAGUZI

Mgombea urais Marekani Bi. Hillary Clinton, ameahidi kuwa iwapo atachaguliwa kuwa rais atakuwa rais wa Wamarekani wote waliomchagua na hata ambao hawajamchagu.

Akiongea katika hotuba yake ya kukubali kuteuliwa na chama kuwania urais, Bi.Clinton amesema Marekani inahitaji watu wote ili kuilinda na kuleta mabadiliko.

Bi. Clinton amemtuhumu mpinzani wake wa chama cha Republican, Bw. Donald Trump, kwa kupandikiza mbengu za uhasama baina ya watu.
              Bi. Hillary Clinton akiwa na mumewe rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton
                               Bi. Hillary Clinton akimkumbatia binti yake Chelsea Clinton
Bi. Clinton akiwa na furaha mno akiwapungia mikono wanachama wa chama cha Democratic

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA