Sunday 24 July 2016

YALIYOJIRI USIKU WA TBL GROUP MOTISHA AWARDS


Mkuregenzi mtendaji TBL Group Roberto Jarin akikabidhi tuzo kwa Wafanyakazi  nao wakisheherekea ushindi wa tuzo ya Motisha kwa furaha 

Kampuni ya TBL Group imewatunukiwa tuzo wafanyakazi wake tuzo ya MOTISHA kwa kutambua mchango mkubwa walioutoa kuleta mafanikio kwa kampuni katika kipindi cha mwaka uliopita.

Hafla ya kukabidhi tuzo zinazojulikana kama “Tuzo za Motisha za TBL Group” ilifanyika katika ukumbi wa Mlimani City   na ilihudhuriwa na wafanyakazi  zaidi ya 300 kutoka viwanda vyote vilivyopo chini ya kampuni hiyo kutoka mikoa ya Dar es Salaam,Kilimanjaro,Mbeya na Mwanza na kiwanda cha Mwanza kilitunukiwa tuzo ya ushindi wa jumla .


Wengine wakipiga picha ya pamoja baada ya kupata tuzo
Burudani mbalimbali za muziki pia zilikuwepo

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA