Monday 1 August 2016

LEMBELI::SITARUDI KATIKA CHAMA CHAKO "CCM" MPAKA UKISAFISHE


Wakati jana  Rais Magufuli akiwa  wilayani Kahama  mkoani Shinyanga  alimpa nafasi aliyekuwa Mbunge wa Kahama kwa tiketi ya CCM na baadae kuhamia CHADEMA, James Lembeli ili azungumze.

Lembeli aliongea mambo kadhaa ikiwemo hatma yake kurudi CCM ambapo alisema yupo tayari kurudi iwapo Rais Magufuli atakisafisha chama kwa kuwashughulikia wanafiki na wala rushwa.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA