SHAMBULIZI LA UTURUKI LIMEFANYWA NA KIJANA WA MIAKA 14 PEKEE
Erdogan amesema anaamini kuwa wapiganaji wa kundi la la Islamic State huenda wakawa wametekeleza shambulizi hilo, ambalo limeuwa zaidi ya watu 50 waliokuwa kwenye harusi ya kikudishi.
Linatajwa kuwa shambulizi lililouwa watu wengi zaidi nchini Uturuki mwaka huu.
Hadi kufikia sasa inaripotiwa kuwa wapiganaji wa IS wamepoteza ardhi katika Jirani na Kaskazini mwa syria.
Ripoti zinasema kuwa waasi wanaoisaidia Uturuki wanajiandaa kukabiliana nao katika mipaka kati ya nchi hizo mbili.
0 comments:
Post a Comment