Tuesday 16 August 2016

UCHAGUZI ZAMBIA::RAIS EDGER LUNGU ATETEA KITI CHAKE

Rais wa Zambia Edger Lungu amechaguliwa tena kuwa rais, tume ya uchaguzi ya nchi hiyo imetangaza matokeo hayo ambayo yamepingwa na wapinzani.

Tume ya Uchaguzi Zambia imesema Lungu amepata kura asilimia 50.35, baada ya uchaguzi huo uliofanyika Alhamisi, ikiwa ni zaidi ya asilimia 50 zilizohitajika kwa mujibu wa sheria.

Mpinzani wake mkuu Hakainde Hichilema, ambaye alidai kufanyika kwa udanganyifu katika upigaji kura amepata kura asilimia 47.67.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA