Wednesday 7 September 2016

LUKAKU AIBEBA UBELGIJI KUWANIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA DHIDI YA CYPRUS

Romelu Lukaku amepachika magoli mawili kwa kichwa wakatia Ubelgiji ikipata ushindi wa magoli 3-0 dhidi Cyprus, ikiwa ni ushindi wa kwanza kwa kocha mpya Roberto Martinez, katika mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya kombe la dunia 2018.

Mchezaji Yannick Carrasco aliongeza goli la tatu baada ya Lukaku kufunga magoli mawili yote kwa kichwa, na kuifanya Ubelgiji kuanza kuonyesha kuwa na uwezo wa kuongoza kundi lao licha ya kutofanya vyema kwenye michuano ya Euro 2016.

Romelu Lukaku akishangilia kwa kukimbia baada ya kufunga goli huku Fellaini akiwa nyuma yake

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA