MAKAMU WA RAIS MHE SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA 6 WA ZAMBIA MHE EDGAR LUNGU MJINI LUSAKA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akiwapongea Rais Edgar C' Lungu na Makamu wake wa Rais Mama Inonge Mutukwa Wina baada ya viongozi hao kula viapo kwenye uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes Stadium) jijini Lusaka. Mama Samia amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwenye sherehe hizo. PICHA NA IKULU

0 comments:
Post a Comment