Wednesday 14 September 2016

MVUA KUBWA YASABABISHA MAFURIKO KATIKA MIJI KADHAA UINGEREZA,MECHI YA UEFA YALAZIMIKA KUAHIRISHWA


Miji ya Manchester na Lancashire nchini Uingereza imekumbwa na mvua kubwa, iliyosababisha mafuriko na umeme kukatika huku mvua ya kimbunga cha tornado ikiukumba mji wa Sheffield.

Njia na maduka makubwa ya bidhaa yalijaa maji katika eneo la North West, huku safari za ndege zikishindwa kuendelea na michezo kuhairishwa.
                 Mwanamke akipita kwenye barabara iliyofurika maji Jijini              Manchester
Maafisa wa mchezo baina ya Manchester City na Borussia Monchengladbach walilazimika kuhairisha mchezo jana baada ya uwanja kujaa maji 
                                      Magari yakiwa yanakatiza kwenye barabara zilizojaa maji 
                         Wingu zito likiwa limetanda angani huku mwanga wa radi nao ukionekana

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA