Wednesday 14 September 2016

UEFA::BAYERN MUNICH YAANZA VYEMA KWA USHINDI WA 5:0

Timu ya Bayern Munich imeanza harakati za kutwa kwa mara ya sita kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kuipa kipigo kikali Rostov cha magoli 5-0.

Penati iliyopigwa na Robert Lewandowski iliwafanya Munich waongoze kabla ya Thomas Muller kuifungia la pili katika siku yake ya kuathimisha miaka 27 kuzaliwa.

Joshua Kimmich aliongeza magoli mawili ya haraka haraka, Juan Bernat akafunga la tano kwa shuti la umbali wa yadi 10. Atletico Madrid ilishinda 1-0 PSV katika kundi Group D.
                                           Robert Lewandowski akifunga kwa mkwaju wa penati 

       Joshua Kimmich akiwa juu angani baa ya kupiga mpira wa kichwa na kufunga goli

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA