Sunday 18 September 2016

MWANAMUZIKI NYOTA WA MUZIKI WA KWAITO MANDOZA AFARIKI DUNIA

Rais Jacob Zuma ametuma salamu zake za rambirambi kufuatia kifo cha mwanamuziki nyota wa muziki wa Kwaito, Mandoza.

Mandoza, ambaye jina lake halisi ni Mduduzi Tshabalala amefariki dunia leo Jijini Johannersburg wakati akikimbizwa hospitali.

Mandoza, 38, aliyekuwa akitamba na ngoma kama Nkalakatha, Godoba, Tsotsi Yase Zola na Uzoyithola Kanjani alikuwa akisumbuliwa na saratani ya ubongo.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA