Monday 17 October 2016

LIVERPOOL VS MANCHESTER UNITED JOTO LAZIDI KUPANDA MTANANGE WA LEO


Wachezaji wa Manchester United wamewasili Jijini Liverpool tayari kwa mchezo wao wa leo usiku dhidi ya timu ya Liverpool, unaongojewa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka duniani.

Manchester United inakutakana na Liverpool iliyokwenye fomu lakini kocha Jose Mourinho huwa anabahati ya kufanya miujiza.
                         Mmoja wa shabiki wa soka akipiga selfie na Zlatan Ibrahimovic
               Vikosi vya timu hizo mbili vinavyotarajiwa kushuka dimbani leo usiku

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA