Friday, 28 October 2016

YANGA WAMREJESHA KAZINI KOCHA WAO HANS VAN PLUIJM LEO .......WAKATAA OMBI LAKE LA KUJIUZULU

Image result for kocha plujim
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mwanachama wa Klabu ya Yanga, Mwigulu Nchemba akiwa katika Mazungumzo na Kocha wa Yanga aliyetangaza kujiuzulu kuitumikia klabu hiyo hivi karibuni, Hans Van Pluijm na kumtaka ajeree kwenye kibarua chake cha kuendelea kukinoa kikosi cha Yanga kinachoshikilia Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Baraka Deusdedit.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA