Wednesday 16 November 2016

HISPANIA YAIBADILISHIA UINGEREZA "GIA" NA KULAZIMISHA SARE (2-2)


Real Madrid and Spain's 24-year-old attacking midfielder Isco (right) squeezed in his shot from a tight angle late on
ENGLAND imeporwa tonge kinywani katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Hispania. Kocha mpya wa England, Gareth Southgate alishuhudia timu yake ikiongoza 2-0 hadi dakika ya 88 lakini hadi mwisho wa mchezo matokeo yakawa 2-2. 
As John Stones (right) backed off, Aspas opened his body up and bent a shot with his left foot in off the far post

Adam Lallana aliifungia England bao la kwanza kwa mkwaju wa penalti dakika ya 9 kabla ya Jamie Vardy kupachika la pili dakika ya 48, hilo likiwa bao lake la kwanza baada ya kucheza kwa dakika 937 bila bao kwa klabu yake ya Leicester City na England. 
(From left to right) Adam Lallana is congratulated on his early goal by colleagues Jordan Henderson and Raheem Sterling

Hispania wakachomoa bao moja dakika ya 89 kupitia kwa Iago Aspas huku Isco akisawazisha katika dakika ya za majeruhi.


0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA