Saturday 3 December 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA AZUNGUMZA NA WALIMU JIJINI ARUSHA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Walimu wa Arusha kwenye ukumbi wa Simba katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) Desemba 2, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Walimu wa Arusha jana walifurika kwenye ukumbi wa Simba katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) kumsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika mkutano kati yake na wao aliouitisha. Pichani, baadhi ya walimu wakiwa wamekaa kwenye ngazi na sakafuni baada ya viti kujaa. 

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA