Tuesday 10 January 2017

VIDEO: RAIS DKT MAGUFULI AKIFURAHI PAMOJA NA WANAFUNZI SHULE YA MSINGI ALIYOSOMA WILAYANI CHATO



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Amefanya ziara ya kushtukiza katika Shule ya Msingi Chato,ambapo ndipo aliposoma kuanzia darasa la kwanza hadi la saba na kuzungumza na walimu na wanafunzi wa shule hiyo.


0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA