IBADA YA GWAJIMA IPO LIVE::BOFYA HAPA KUITAZAMA
Kufuatia tuhuma zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii kuwa kiongozi wa kanisa la Ufufuo Na Uzima Mchungaji Gwajima kuzaa mtoto nje ya ndoa na kumtelekeza, Kupitia ukurasa wake wa Facebook Mchungaji Gwajima ameahidi kulitolea ufafanuzi suala hilo katika ibada ya leo.
Nami nimekuletea kwa wepesi kabisa matangazo mubashara ya ibada hiyo.
BOFYA HAPA KUTAZAMA LIVE
0 comments:
Post a Comment