Monday 25 September 2023

PICHA YA SIKU

 Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bw.Hamza Johari (kushoto) akizungumza na Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius Kahyarara (kulia) wakati wakimsubiria Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya ukaguzi wa maboresho ya uwanja wa Ndege wa Mtwara.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA