Friday 12 May 2017

ALIYEKUWA RC RUVUMA, SAID MWAMBUNGU AFARIKI DUNIA KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI


Aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Ruvuma Bw.Said Mwambungu amefariki dunia katika hospitali ya Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na matatizo ya figo.

Mwenyezi Mungu amlaze Mahala Pema,Amina.

Mwambungu.jpeg 
4a.1.jpg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha na kumkabidhi vitendea kazi Ndg. Said  Thabit Mwambungu kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Ikulu jijini Dar es salaam Marchi 15,2016.

Alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Bw. Said Thabit Mwambungu alihamishiwa Ofisi ya Waziri Mkuu Dar es salaam ambako Rais Magufuli alisema atapangiwa majukumu mengine. Nafasi yake ilijazwa na Dkt. Binilith Satano Mahenge.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA