MBUNGE WA JIMBO LA TANGA ALHAJI MUSSA MBARUKU ATEMBELEA KUONA ATHARI ZA MAFURIKO ENEO LA NEEMA DARAJANI
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Alhaj Mussa Mbaruku kushoto akiteta jambo na mmoja wa wakazi wa Jiji la
Tanga eneo la Neema mara baada ya kukutana njiani wakati mbunge huyo
alipokwenda kukagua kujionea athari zilizotokana na mvua kubwa
iliyonyesha kulia ni Diwani wa Kata ya Mnyanjani (CUF) Thobias
Haule
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Alhaj Mussa Mbaruku kulia akisisitiza jambo wakati alipotembelea eneo la
Neema kujionea athari za uharibifu wa barabara ya Tanga hadi Pangani
kutokana na mvua kubwa iliyonyesha juzi na kusababisha barabara hiyo
kutokupitika
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Alhaj Mussa Mbaruku wa kwanza kulia akiangalia athari za miundombinu ya
barabara ya Tanga hadi Pangani katika eneo la Neema ambako alikwenda
kuangalia namna ilivyoharibika kutokana na mvua kubwa zinazoendelea
kunyesha
Mbunge wa Jimbo la Tanga
(CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akitazama
Mbunge wa Jimbo la Tanga
(CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akitembelea kujionea athari za barabara
hiyo
Mbunge wa Jimbo la Tanga
(CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akitembelea kujionea athari za barabara
hiyo
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Alhaj Mussa Mbaruku akitembelea kujionea athari za barabara
hiyo
Mbunge wa Jimbo la Tanga
(CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kulia akisalimiana na wananchi wa
Tangasisi
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Alhaj Mussa Mbaruku kulia akipata maelekezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi
Bacc Technicla co.Ltd ya Mkoani Dodoma , Husein Bakeme kuhusu namna
wanayofanya kuondoa adha hiyo
Creda likiendelea kufanya kazi ya
kurekebisha barabara ya Tanga -Pangani eneo la Neema ambalo lilikuwa
halipitiki kutokana na kuharibika vibaya na kusababisha magari kushindwa
kupita
Mbunge wa Jimbo la Tanga
(CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akitembelea eneo la Neema
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Alhaj Mussa Mbaruku kulia akiteta jambo na Diwani wa Kata ya Masiwani
kushoto wakati walipotembelea eneo la Neema kujionea athari za barabara
kutokana na mvua zilizonyesha
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Alhaj Mussa Mbaruku kulia akiwa na diwani wa Kata ya Masiwani Said Alei
wakati akitembelea eneo la Neema ambalo limeathirika kutokana na mvua
kubwa zilizonyesha mkoani Tanga
Mbunge wa Jimbo la Tanga
(CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kushoto akisalimiana na wananchi wa Jimbo
lake
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Alhaj Mussa Mbaruku akiteta jambo na wapiga kura wake mara baada ya
kutembelea eneo la Neema ambalo limeathirika kwa miundombinu ya barabara
kuharibika kutokana na mvua kubwa zilizonyesha jijini
Tanga
Habari kwa hisani ya Blog ya
Kijamii ya Tanga Raha
0 comments:
Post a Comment