MWILI WA MBUNIFU NA MCHORAJI WA NEMBO YA TAIFA WAAGWA LEO
Picha ya marehemu Francis Maige Ngosha Kinyasu wakati akiwa hospitali akipata matibabu kabla ya kifo chake. (Picha na Francis Dande).
Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngereza (kulia), akibadilishana mawazo na Daktari Bingwa wa magonjwa ya dharura, Dk. Juma Mfinaga (kushoto), pamoja na waombolezaji wengine wakati wa kuaga mwili wa mbunifu na mchoraji wa nembo ya taifa, marehemu, Francis Ngosha.
Waombolezaji.
Daktari Bingwa wa magonjwa ya dharura, Juma Mfinaga, akizungumza katika ibada fupi ya kuga mwili wa mbunifu na mchoraji wa nembo ya taifa marehemu, Francis Ngosha.
Rais wa Shirikisho la Sanaa za Ufundi Tanzania (TAFCA), Adrian Mnyangale akitoa salama za rambirambi.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngereza, akitoa salama za rambirambi kwa niaba ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Marcel Katemba, akitoa salama za rambirambi.
Jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu Ngosha.
Mwili ukitayarishwa kwa ajili ya kunza kuaga.
Waombolezaji wakiaga mwili.
Rais wa Shirikisho la Sanaa za Ufundi Tanzania, Adrian Mnyangale
Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Marcel Katemba, akitoa heshima za mwisho.
Kutoa heshima za mwisho.
Eric Shigongo akitoa heshima za mwisho.
Baadhi ya waandishi wa habari wakitoa heshima za mwisho.
Kwa heri Ngosha........
Kutoa heshima za mwisho.
Moja ya kazi za marehemu Ngosha.
0 comments:
Post a Comment