MHE. RAIS SAMIA AZINDUA KAMPENI TA MAENDELEO KWA USTAWI WA TAIFA NA MAPAMBANO DHIDI YA UVIKO-19
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Taifa kwenye uzinduzi wa kampeni ya Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya Uviko-19 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma leo tarehe 10 Oktoba 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi nje ya Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma mara baada ya kuzindua rasmi kampeni ya Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya Uviko-19 leo tarehe 10 Oktoba 2021.
0 comments:
Post a Comment