HUU NDIO MUUNDO WA ALAMA ZA UFAULU
HUU NDIO MUUNDO WA ALAMA ZA UFAULU ULIOTUMIKA NA BARAZA LA MITIHANI....KATIKA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE
Kumekuwa na sintofahamu miongoni mwa wadau wengi wa Elimu nchini kutokana na matokeo ya kidato cha nne yaliotolewa mwaka huu wengi wakihoji ni mfumo gani wa upangaji matokeo uliotumika.Aidha wengi wakikosoa kuwa kama utaendelea kutumika basi mustakabali wa elimu ya Tanzania unaelekea pabaya.

0 comments:
Post a Comment