08:35 |
|
KIPOFU ALIZUA
Kipofu kampiga mtu mpaka kamuua, akafikishwa mahakamani;
HAKIMU: Kwanini umefanya ukatili namna hii
KIPOFU: Mheshimiwa marehemu alisema mwenyewe,'Ukinipiga utaona', kwa vile nilikuwa na hamu kubwa ya.........................................
KWA VIJIMABO NA HABARI ZAIDI ZAMA NDANI YA VUNJA MBAVU
0 comments:
Post a Comment