Thursday 20 March 2014

WAMEFUFUKA? Man United WAFUZU ROBO FAINALI UEFA



Robin van Persie asherekea kufunga mabao matatu
Robin van Persie alifunga mabao matatu na kuisaidia mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Uingereza Manchester United, kujikatia tiketi ya kushiriki robo fainali ya kombe la kilabu bingwa
barani Ulaya baada ya kuinyuka Olympiakos mabao 3-0 katika mechi ya mkondo wa pili iliyochezwa Old Trafford.
NAYO DORTMUND YAPITA KIBABE
KWA HABARI ZAIDI ZAMA NDANI YA KURASA YA MICHEZO 

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA