KOREA KASKAZINI YAWAAMURU WANAUME WOTE KUNYOA NYWELE KAMA RAIS WAO JONG-UN
Tumekuwa tukisikia sheria mbalimbali zikipitishwa katika nchi mbalimbali zinazowataka watu wavae au wasivae mavazi ya aina fulani, lakini huko Korea Kaskazini imepitishwa sheria inayowataka wanaume wote wa nchi hiyo kunyoa style ya nywele ya kiongozi wao iliyopewa jina la ‘Dear Leader’
0 comments:
Post a Comment