Saturday, 29 March 2014

SINTAH KUINGIA JUMBA LA BIG BROTHER AFRICA MWAKA HUU


Baada ya Sinta Kupost Instagram akimshukuru Boss Lady Zari wa Uganda na watu kuanza kuanza kusema anajipendekeza na kuwa hana hadhi ya Zari Sintah aliamua kuwajibu hao baadhi ya watu kupitia Blog yake na katika majibu hayo amegusia kuwa subiri tumuone kwenye Jumba la Big Brother Africa ..na Kwamba alimwambia Zari See you Soon akiwa na maana wataonana kwenye Jumba Hilo.....Jisomeee hapo chini Mwenyewe na Ujumlishe na Kutoa kama ndio hivyo navyohisi mimi...
NA wananchi blg

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA