Mkaazi
wa kunduchi Beachi katika manispaa ya kinondoni jijini Dar es salaa
Riziki Daudi amejifungua watoto alipojifungua kwa njia ya upasuaji wiki
iliyopita katika hospitali ya Taifa muhimbili kutopkana kuwa maisha
magumu anaomba wasamaria wema kumsaidia kwa hali na mali kutoka hali
yake hususani nguo za watoto apamoja na misaada mingine watoto hao
wanatunzwa katika chumba maalum katika jengo la wazazi alikuwa anaomba
kwa wale watakao gusa na tatizo hilo kuwasiliana na namba za simu
0783717648 ya Hadija Abeid na 0717 365040 ya Thuwaiba mohamed au
088711458 Daudi Haji wadau naomba tumsaidie kwa kusambaza vyombo vyenu
|
0 comments:
Post a Comment