Thursday, 29 May 2014

Hii Ndio Safari ya Mwisho ya Msanii Recho Haule katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar......




Mwenyekiti wa Bongo Muvi Steven Nyerere akiweka shada la maua katika kaburi.
 
Ndugu wa marehemu wakiweka mashada.
 
Wasanii wa Bongo Muvi kutoka kushoto Ant Lulu akiwa na wenzake.
 
Watumishi wa Mungu katikati wakifanya maombi baada ya maziko.
 
Mchumba wa marehemu George Saguda (kushoto) akiweka udongo katika kaburi la Rachel na mwanae

Msanii Blandina Chagula 'Johari' akiweka mchanga
 
Mjomba wa marehemu, Evance Haule (kushoto) akiweka mchanga katika kaburi la marehemu.

Ndugu wa marehemu wakiweka mchanga katika kaburi la marehemu Recho Haule.
Mafundi wakichanganya zege.
 
Mafundi wakisawazisha zege.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA