Thursday 8 May 2014

HII NDIYO TWEET YA LADY JAY DEE KUHUSU TUZO ZA KILL ETI HAJUI KAMA ZIMESHAFANYIKA

Lady Jaydee alishinda tuzo mbili mwaka huu kwenye KTMA lakini kwasababu ambazo hajazisema,hakuwepo mwenyewe kuchukua tuzo hizo, shabiki yake akamuuliza kupitia twitter na Lady Jay Dee Akamjibu Kwani Zimeshafanyika? Akiwa na Maana Hajui kama Tuzo hizo zilishafanyika na Hajui kama Alishinda...
NA MATUIKO NA VIJANA

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA