JAMANI: ANGALIA PICHA ZA WADADA WATATU WENYE UGONJWA WA KUOTA NYWELE MWILI MZIMA KUTOKA INDIA UGONJWA HUU UMEWAHARIBIA NDOTO ZAO
Ndugu hawa wote wanatokea nchini
india wa kwanza anaitwa Savita (23),Monisha (18)na Savitri (18)ambao
wote hawa katika maisha yao wamelazimika kutumia dawa ambazo huweza
kuwasaidia kupunguza uwezo wa nywele kuota kwa kasi. Ndugu
hawa watatu kati ya sita waliozaliwa katika familia moja wameathirika
na ugonjwa huu uitwao kitaalamu werewolf syndrom.Ugonjwa huu unaweza
kumfanya mgonjwa kuweza kuota nywele karibu kila sehemu ya mwili wake
hasa sehemu za usoni.Ni mara chache sana kumpata mgonjwa anayeumwa
ugonjwa huu.Kwani wataalamu
wanasema
kuwa hutokea kwa mtu mmoja kati ya watu billioni moja. Chanzo cha
ugonjwa mama wa watoto hawa amesema kwamba ni kutoka kwa baba yao ambaye
alikua na ugonjwa huu.Na yeye alilazimishwa kuolewa naye bila kujua
kama anaugonjwa huu.Kutokana na umasiki walionao wameshindwa kulipia
gharama za upasuaji kwa mgonjwa mmoja ni zaidi ya dola za kimarekani
7,000.Mama huyu anaomba msaada wa kumsaidia watoto wake hawa kuweza
kufanyiwa upasuaji ili siku moja waweze pona na kuolewa.
0 comments:
Post a Comment