KILICHOJIRI KWENYE MSIBA WA MSANII ALIYEFARIKI LEO,HAKUNA UTULIVU TENA, VILIO VYATAWALA 22:50 | No Comments | Mwili wa Marehemu Adam Kuambiana ukiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kuhifadhiwa leo mchana huu Rais wa Bongo Movies, Steve Nyerere akiwa katika sura ya mshangao. Wasanii wakilia kwa uchungu nje ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili mchana wa leo. Share This: Facebook Twitter Google+ Stumble Digg Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
0 comments:
Post a Comment