HUU NDIO UCHIZI WA "LADY GAGA" TAZAMA ALIVYOINGIA JUKWAANI BILA NGUO MUHIMU NA KUWAACHA MASHABIKI MACHO YAMEWATOKA!!
Hii ni kati ya Show zake alizowahi kupiga huko nchini marekani katika
tuzo za mtv. katika hali isiyo ya kawaida Gaga aliingia Kwa stage na
madance wake akiwa kama unavyomuona kwenye Picha. Lady gaga amekuwa
akifanya hivi katika show
zake nyingi ili kuwavutia watu wengi. Pia ameonekana ni celebrities
ambaye hana aibu awapo jukwaani lolote litakalomjia kichwani kwa muda
huo yeye analifanya. So mambo kama haya yanaendelea Kumpa umaarufu wa
Kutosha kila kukicha!!
MAMBO YA WALIMWENGU
0 comments:
Post a Comment