********MSANII MANGWEA KUKUMBUKWA LEO*******
STAA wa
Bongo Fleva, marehemu Albert Mangweha ‘Ngwea’ leo anatarajiwa kufanyiwa
shughuli ya kumbukumbu ya kifo chake. Habari kutoka ndani ya familia ya
Ngwea zinasema kuwa, shughuli hiyo itafanyika leo Mei 28, nyumbani kwao
Morogoro ikiwa ni mwaka mmoja timilifu tangu afariki dunia.
Ngwea
alifariki dunia Mei 28, mwaka jana katika Hospitali ya St. Hellen
jijini Johannesburg, Afrika Kusini alipokuwa amelazwa kwa matibab
0 comments:
Post a Comment