UBACHELA BASI::Pep Guardiola amuoa mchumba wake waliyezaa nae watoto 3
08:34 |
No Comments |
Hatimaye kocha wa klabu bingwa ya Ujerumani Bayern Munich, Pep Guardiola amefunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu Cristina Serra leo hii, na bosi huyo wa Bayern na mchumba wake waaliamua kufanya ndoa hiyo kwa kawaida kabisa bila shamra shamra zozote.Ndoa hiyo imefungwa kiserikali huko Matadepera, Catalonia, Spain.Pep na mchumba wake Cristina, kwa pamoja na watoto wao watatu na wazazi wao, walifanya sherehe ndogo kuhalalisha mapenzi yao.Tazama picha hapo chini namna ndoa ya Guardiola ilivyokuwa
Guardiola mwenye shati la kaki na mkewe Cristina mwenye suruali nyeusi pamoja kti jekundu wakisindikizwa na ndugu zao kwenda kufunga ndoa.
Posted by JAFE JACKSON at Friday, May 30, 2014
Related Posts:
PICHA:: LIVERPOOL YABANWA NA SOUTHAMPTON Liverpool: Mignolet, Clyne, Skrtel, Sakho, Moreno, Milner, Lucas, Can, Lallana (Firmino 67), Coutinho (Ibe 83), Origi (Benteke 45) Sub… Read More
MOURINHO MGUU NDANI MGUU NJE CHELSEA Kocha Mkuu wa Chelsea, Jose Mourinho sasa si siri tena kwamba amekalia kuti kavu. Makocha Carol Ancelotti na Guud Hiddink ndiyo wanaopewa naf… Read More
MKWASA AITA 28 STARS KUIVAA ALGERIA Kocha Mkuu wa timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Charles Boniface Mkwasa leo ametangaza kikos… Read More
PICHA: MANCHESTER UNITED ,MANCHESTER CITY HAKUNA MBABE MANCHESTER UNITED (4-2-3-1): De Gea 6; Valencia 6.5 (Darmian 5.5), Jones 6.5, Smalling 7, Rojo 6.5; Schweinsteiger 7(Fellaini 6.5), Schneiderlin 6; … Read More
TWIGA KUCHEZA NA MALAWI NOVEMBA 7 Timu ya Taifa Tanzania ya Wanawake ya Mpira wa Miguu (Twiga Stars) inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya Taifa ya Wanawake ya Malawi No… Read More
0 comments:
Post a Comment