WAJASIRIAMALI WALEMAVU WAFUNGA BARABARA DAR
KUNDI la
walemavu, wajasiriamali na wafanyabiashara ndogo ndongo, leo May 20,
2014 wamefunga makutano ya barabara ya Kawawa na Uhuru (Karume) kwa muda
wa saa tatu wakishinikiza Serikali iwapatie maeneo ya kufanyia biashara
baada ya kuwaondoa katika eneo la Mtaa wa Kongo Kariakoo jijini Dar es
Salaam. PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE (FS)
0 comments:
Post a Comment