EXCLUSIVE:::ALIYEDONDOSHA BOMU LA NYUKILIA HIROSHIMA AFARIKI DUNIA
Van Kirk |
Baada ya kifo cha Morris Jeppson, mwaka 2010,Van Kirk alikuwa ndiye mpiganaji pekee aliyebaki kati ya wapiganaji dazeni walishiriki katika misheni hiyo.
Kwa miaka mingi alikuwa akiishi katika makazi ya wastaafu huko Stone Mountain na walikuwa akiishi na James Starnes, navigeta wa USS Missouri ambaye alipokea ujumbe wa kujisalimisha rasmi kwa Japan, Septemba 2, 1945.
Starnes, amesema rafiki yake alikufa Jumatatu baada ya kuwa hospitalini kwa wiki kadhaa.
Alisema kwamba kwa mara ya kwanza kwa miaka mingi alidondosha chozi kwa rafiki yake huyo ambaye kwa pamoja kwa nyakati tofauti walikuwepo wakati wa kuandika historia ya dunia.
0 comments:
Post a Comment