HII NDIYO IDADI YA TUZO ALIZOZIPATA LADY JAY DEE MPAKA SASA
Mwanadada Lady Jaydee alimaharufu kama Binti Machozi wa TEAM ANACONDA, leo ameweka wazi kua tangu alipo anza mziki mpaka sasa baada ya kupata tuzo ya mwanamziki bora wa kike wa Afrika Mashariki ya Afrimma iliyofanyika nchini marekani kua ndo tuzo ambayo mpaka sasa imekamilisha idadi ya jumla ya tuzo thelathini (30) ambazo amezipokea mpaka sasa. Hili kaweka wazi leo katika ukurasa wake wa facebook. TEAM UKWANZA inapeleka hongera zake kwa mwanadada Lady Jaydee
(Commando) kwa mafanikio makubwa aliyoyapata kutokana na hii tasnia ya muziki, Hongera sana LADY JAYDEE.
Picha aliyoweka leo na ujumbe wake
""Tuzo yangu ya 30. Asanteni kwa ushirikiano, nimeipokea na ninarudi nayo nyumbani. Shhhhhh! !!! Kimya Kimya""
0 comments:
Post a Comment