Friday 1 August 2014

AU HAJIELEWI ???ONA ALICHOKIFANYA MTANGAZAJI WA CLOUDS FM DIVA


Mtangazaji wa kipindi cha mahaba kiitwacho Ala za Roho kupitia Radio Clouds FM, Loveness Malinzi ‘Diva’ hivi karibuni alilazimika kuyaanika maungo yake ya sehemu za mapaja kushuka chini baada ya kutakiwa kufanya hivyo na mmoja wa mashabiki wake.Kupitia blog yake, Diva alidai kuwa siku za nyuma kuna mtu aliomba kuona sehemu hizo za mwili wake hivyo baada ya kumbania sana ameamua kumtimizia haja yake ili afurahi.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA