MARTIN KADINDA AMFUNGUKIA LUNDENGA KUHUSU MISS TANZANIA
"Daaaaah... Anko Ludenga nakukubali Sana ila Kwa hili am not ur side!! sitti am not hating but Kwa upande wangu hapana.. I just wish u all the best Kwa majukumu yakoAnd ukatuwakilishi vizuri maybe unaweza kufanya mazuri Zaidi Ya waliopita ila Kwangu wewe hapana.... Ukimind poa ila sio wote huwa tunakubaliana na matokeo.... Matusi noo Kwa my page.. Ukitukana nakublock"