Wednesday 19 November 2014

EXCLUSIVE! !RONALDO, MESSI WAKIPIGA STORY KABLA MECHI OLD TRAFFORD





 Nani anasema Cristiano Ronaldo na Lionel Messi huwa hawapigi stori? Angalia mwenyewe.
Wawili hao walipiga stori za kutosha tu kabla ya mchezo wa kirafiki kati ya Argentina na Ureno haujaanza kwenye Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester, England, leo.
Hata hivyo, walizungumza kwa staili ya aina yake kila mmoja akiziba mdomo wake.
Wote walifanya hivyo kuhofia wataalamu wa kusoma midomo wasigundue wanachozungumza.
Hivi karibuni kulikuwa na taarifa Ronaldo alimtusi Messi, hata hivyo Mreno huyo alikanusha vikali.



OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA