FURAHA YA MASHABIKI NUSURA IWATOE ROHO WACHEZAJI WA IVORY COAST!!CHEKI PICHA HAPA 09:40 | Kufuzu kwa Ivory Coast kucheza fainali za Africa mwakani kumegubikwa na tukio la mashabiki wa nchini humo kuvamia uwanja kwa furaha baada ya kumalizika mchezo huo dhidi ya Cameroon uliomalizika kwa sare 0-0 huko Abidjan. Share This: Facebook Twitter Google+ Stumble Digg AFRICA, michezo Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook