TIMU YA WATOTO WA MITAANI YA TANZANIA YATWAA KOMBE LA DUNIA.
Wakidhangilia ushindi pamoja na Kiongozi wao Mutani Yangwe |
TIMU YA WATOTO WA MITAANI YA TANZANIA IMEFANIKIWA KUTWAA KOMBE LA DUNIA KWA WATOTO WA MITAANI BAADA YA KUIFUNGA BURUNDI KWA JUMLA YA MAGOLI 3-1! MPAKA KIPINDI CHA KWANZA KINAISHA TANZANIA WALIKUWA WAKIONGOZA KWA MAGOLI 2-0 NA KIPINDI CHA PILI WALIONGEZA GOLI LA TATU, HUKU BURUNDI WAKIJIPATIA BAO LA KUFUTA MACHOZI BAADAYE.
0 comments:
Post a Comment