KALI YA MWAKA,WANAFUNZI WAPYA WA UDOM WATINGA CHUONI NA MA TRANKA PAMOJA NA VIROBA VYA MCHELE NA MAHARAGE CHEZEA KUSOMA UDOM WEWE
Baada yao walikuja wamebeba ma tranka yale yanayotumiwa sana na shule za sekondari sana sana form 1 na form 2,Ambapo kwa chuo ni tofauti kidogo, vile vile wengine walikuja wamevalia Sare za shule huku wakiwa wamechomekea mkanda njee huku wasicha wakiwa na magauni marefu, Ila funga kazi ambayo iliwaacha watu hoi mpaka mhusika mwenyewe kujisikia vibaya ni mwanafunzi mmoja aliyekuja na kiroba cha mahindi pamoja na mchele na maharage.... daaa haki ya mungu watu walivunjika mbavu, lakini point ni kwamba wate wamekuja kusoma.
-MASAMA