Sunday, 7 December 2014

NI TANZANIA TENA!! IDRIS ATAWAZWA KUWA MSHINDI BIG BROTER HOTSHOTS 2014



Mshiriki katika shindano la Big Brother Africa 2014 aliye kuwa akiiwakilisha Tanzania Idris ameibuka mshindi usiku huu na kujinyakulia kitita cha Dollar za kimarekani $300.

Idris anaungana na Mwisho Mwampamba pamoja na Richard katika orodha ya walioiwakilisha vyema tanzania katika shindano hilo linalotazamwa na kote  barani  Africa na Ulaya.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA