USIPITE BILA KUSOMA HII!!NGOJA NIKUPE NJIA RAHISI ZA KUWAPATA HAWA MADADA ZETU WA MJINI ..,.MI NAZIITA 6C'S
1.Car
Hii inakamata nambari Moja, sababu inaact kama
catalyst, inaspeed up other attachments to comply
with ur intentions to that beautiful chick you want
to hold on onto your life.........
2.cash
hahah ah, Hapa ndo Main point hapa, Mapenzi bila
hela sikuhizi ni sawa na Gari bila Matairi....Haya
endi, Tusibishane katka hili, hta kama Demu wako
hapendi pesa kiasi gani but lazima uwe namoney
za kuhandle petty expenses... la sivyo unaumbuka
mjini... hata hilo gari hapo juu halitakua na maana
kama Cash iz a problem.....
3.Clothes
Hahahahah hapa Bro naongelea Muonekano wako
binafsi, ebu acha kupiga suluari zako za malinda
sita zile na raba kama wakimbia marathon, Watoto
wazuri bwana wanataka Gentlemen haswaa...mzee
wa kutokelezea, hata kama huna pamba kali basi
ulizonazo wazipangiliaje.... hapa nadhani wadau
waukweli watajua nazungumzia vitu kama Hermes,
Pierre Cardin, Luis Vuitton, Tom Clanks, na chata
ka hizo.... sio unatupia singlendi ya buku sh tano
na hupigi bafu... SAHAU MTOTO MZURI.
4.Communication
hAHAHA hApa sasa pana Tatizo bana.... unajua
Communication nayoizungumzia hapa ni aina
mbili..... Verbal communication na Physical
Accessories Communication (communication
device)..., Watoto Wazuri wa mjiniwanapenda
Kiingereza asikwambie mtu.... wanamiksi yaani...
kiswahili kidooogo then Ngeli kwa saana..... yabidi
ujipange aisee... hizi like uuuuh....mnh uknow... i
kinda...uuuh... uwe vizuri mzeee la sivo utaishia
kupata watoto wa tandale kwa Tumbo.... hiyo ya
pili nazungumzia device sasa, Hapo jiulize unasimu
ama unachombo cha mawasiliano? siku hizi
wajanja tuna Apple, Samsung Galaxy, Htc, Huawei
na vitu adimuka hizo...sasa we komaa na simu
zako za tochi utajuta...mtot anataka akuone
mainsta nini sana....
5.Confidence
Hapa watoto wengi wakishua wanapata shida......
Confidence ni ability ya kuexpress ur feelings
towards a girl looking at her eyes.... sasa kuna
wajomba wanaona aibu mpka wanaume
wenzao....sasa mtiti unakuja anapomit na mtoto
mzuri hahahah,,.... kila kitu hapo juu anacho bt
amelack confidence...Kalagha bao....
6.Chance
Chance bana ni ile unakua na mchizi wako ana
demu mzuri... afu huyo demu anarafiki ake mzuriii
pia...aaaaaah hapo c kamakumpa Christiano
ronaldo na Laiton baines free kick..... it also
sometimes mean the chances you have in your life
interms of eduction, employment e.tc......( 6C's)
# mengineOngezea
WIKEND NJEEEMAAA
0 comments:
Post a Comment