LAZIMA USHANGAE..CHEKI PICHA YA NYUMBA ZA AJABU ZAIDI DUNIANI
| Tumezoea kujenga kuanzia chini sasa hii imeanziwa juu. |
| Hii nayo ipo kipekee kabisa tukiita Hole house hatutakosea |
| Hii nayo ni ya aina yake maana ni umbo la KIATU.kweli kila kitu kinawezekana |
| Hii waweza kuiita ice house maana ni katikati ya barafu tena juu ya maji |
| Hakika ufundi umetumika katika kubuni na kuundwa kwa mjengo huu |
| Hii nayo ni ya aina yake kwani ni kioo tupu |
| Hii ipo katikati ya mkondo wa maji maji Hii unaweza kuiita tree house kutokana na muundo pamoja na mazingira ya ujenzi wake |
-Picha na mtandao
-caption na Kd Mula

0 comments:
Post a Comment