Thursday 22 January 2015

MESSI AIBEBA BARCELONA IKIICHA ATLETICO MADRID

Lionel Messi (left) runs off in celebration after scoring the rebound having missed a penalty to put Barcelona ahead against Atletico Madrid
Lionel Messi (kushoto) akikimbia kushangilia na Luis Suarez baada ya kuifungia bao pekee Barcelona dhidi ya Atletico Madrid
Fernando Torres (right) of Atletico Madrid competes for the ball with Barcelona's Jordi Alba at the Nou Camp on Wednesday night
Fernando Torres (kulia) wa Atletico Madrid akiwania mpira mbele ya Jordi Alba wa Barcelona katika mchezo huo uliofanyika kwenye uwanja wa Nou Camp usiku wa kuamkia Leo
Messi alifunga bao hilo dakika ya 85 usiku wa kuamkia leo, baada ya kuuwahi mpira uliookolewa na Jan Oblak kufuatia mkwaju wa penalti alioupiga yeye mwenyewe na kuutumbukiza nyavuni.
Penalti hiyo ilitolewa baada ya Juanfran kumchezea rafu Sergio Busquets na sasa timu hizo zitarudiana wiki ijayo katika Robo Fainali ya pili ya michuano hiyo Uwanja wa Vicente Calderon. Fernando Torres alianza jana katika kikosi cha Atletico, lakini akatolewa mapumziko kumpisha Mario Mandzukic.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA