JESHI LA POLISI LAPATA AIBU KUBWA, POLISI WAKE AKUTWA AKIFANYA MAPENZI HADHARANI AKIWA AMEVAA SARE ZA JESHI HILO
10:33 |
No Comments |
Unakumbuka ile Stori ya askari Asuma Mpaji na Veronica Nazaremo kufukuzwa kazi Mkoani Kagera baada ya picha zao kusambaa mitandaoni wakionekana kupigana mabusu? safari hii nakuletea tena stori inayofanana na hiyo ambayo imetokea NchiniUingereza.
Polisi wa nchi hiyo ya Uingereza waliamua kumshtaki mwenzao baada ya kufanya kitendo cha kudhalilisha jeshi la nchi la nchi hiyo kwa kufanya tendo la ndoa tena mbele za watu akiwa na sare za kazi.
Kitendo hicho kimemfanya kufukuzwa kazi bila kupewa taarifa za awali haraka baada ya kwenda kwenye shughuli zake za kila siku za usalama na kufanya kitendo hicho huku akijua ni kinyume na sheria tena akiwa amezungukwa na watu.
Msaidizi mkuu wa kituo hicho Russ Middleton alisema wanaamini hatua hiyo itakua fundisho kwa wengine kutokana na kitendo hicho cha udhalilisha.
Kwa upande mwingine polisi mwingine nchini Uruguay naye alikumbwa na mkasa unaofanana na huo baada ya kucheza na mwanamke akiwa uchi katika kituo chake cha kazi.
Picha ya askari huyo zilinaswa na mitandano mbalimbali na kujikuta zikisambaa kwa kasi hali iliyosababisha ashtakiwe kwa kosa hilo.
-EDDY BLOG
Related Posts:
AIBU::PICHA ZA UCHI ZA WATU MAARUFU ZAANIKWA MITANDAONI .....FBI WAINGIA MZIGONI KUNUSURU JAHAZI Idara ya upelelezi ya nchini marekani FBI inachunguza kwa ukaribu madai ya maelfu ya accounts za watu maarufu kutekwa,na kinachotafutwa hasa ni … Read More
MSICHANA ALAZIMISHWA KUFUNGA NDOA NA MBWA Msichana wa miaka 18, raia wa India aliyetajwa kwa jina la Mangli Munda amefunga ndoa na mbwa baada ya kulazimishwa na wazazi wake kufanya hi… Read More
NI SHIDAA !! MEET THE BLACK LADY GAGA (LATRICE ROYALE) Latrice Royal is a celebrity drag queen. Real name Timothy Wilcots, she has the swag of Beyonce ,confidence of Rihanna and style of&… Read More
SAMSUNG NI BALAAA...WATOA SIMU MPYAA...INA KIOO CHA KUJIKUNJA.....CAMERA YAKE NI MEGAPIXELS 16...ICHEKI HAPA … Read More
MKE WA BEST MAN WA BWANA HARUSI AJIFUNGUA WAKATI WA SHEREHE,TUKIO LIKO HAPA msaada wa mtandao wa Daily Mail MWANAMKE ambaye alitakiwa kuwa matroni na kisha kumkatalia rafiki yake kwa kuwa alikuwa mjamzito na… Read More
0 comments:
Post a Comment